Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, May 11, 2011

WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA MKUTANO WA KUJADILI MAENEO HURU YA UWEKEZAJI BARANI AFRIKA (AFZA) LEO JIJINI DAR ES SALAAM



Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kujadili Maeneo Huru ya Uwekezaji Barani Afrika (AFZA) baada ya kufungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es salaam leo. Kutoka kushoto ni Dk. Sule Yakubu Bassi wa Nigeria, Hakizimana Emmanuella wa Burundi ,Profesa Samuel Wangwe wa Tanzania, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr.Mary Nagu na Kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam, Said Meck Sadiki.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Maeneo huru ya Uwekezaji barani Afrika (AFZA),Dr. N. Abe (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa EPZA nchini, Dr.Abdelhelm Meru (wapili kulia) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Mary Nagu (kushoto) baadaa ya kufungua Mkutano wa wa Kujadili maeneo huru ya uwekezaji barani Afrika (AFZA) kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Habari kwa Hisani ya Haki Ngowi Blog

No comments: