Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, May 6, 2011

DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA UNITED BANK OF AFRICA IKULU JIJINI DAR LEO


Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa United Bank Of Africa, Ajobola Abiola (katikati) wakati alipofika Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo.Kushoto ni Ofisa wa benki hiyo, Lilian Mboja.
Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa United Bank of Africa, Ajobola Abiola (wapili kushoto) na Ofisa wa benki hiyo, Lilian Mboja (kulia) na Shiraz Jafar, wakati walipofika Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-VPO
Habari kwa hisani ya Issa Michuzi Blog
"

No comments: