Katika pita pita kamera yetu ilifanikiwa kunyaka tukio hili lakusikitisha ambapo magari ya Selikali yalionekana yanaelekea kuoza jambo linalo semekana kuwa yamekuwa eneo hilo kwa muda mrefu na hakuna hata mtu ambae analizungumzia hata hivyo tulifanya juhudi za kuwasaka wakazi wa eneo hilo, wamedai kuwa magari hayo yamekuwa hapo kwa muda mrefu sana bila ufumbuzi na hayo ni baadhi tuu na mengine yapo mengi eneo hilo.
Swali ni Je wananchi wanahitaji Huduma huku kwengine magari yanazidi Oza tena mapya ya gharama. Hii ni sawa?
Swali ni Je wananchi wanahitaji Huduma huku kwengine magari yanazidi Oza tena mapya ya gharama. Hii ni sawa?
No comments:
Post a Comment