Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, April 28, 2011

Wananchi vijijini wanateseka sana na hali hii hapa

Hili ni eneneo ambalo wana mbeya vijijini wanachota maji yao ya matumizi ya kila siku

Inasikitisha sana kuona wananchi waishio huko mjini Mbeya wanapata huduma safi ya maji huku wananchi waishio Vijijini wanapata huduma kama hii hapa, wanatumia maji haya kwa jili ya Kunywa, kupikia, kuoga na matumizi mengineyo.

No comments: