Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, April 28, 2011

KITUO CHA DALADALA MAGOMENI MIKUMI


mpaka leo hii ni takribani siku nne toka kibanda hiki cha kukaa abiria wanaosubiria usafirikianguke na hakuna taratibu zozote zilizochukuliwa juu yake mpaka wakati huu.sasa sijui ndio wanasubiria mpaka JK atoe kauli yake ndio kiweze kufanyiwa kazi?? chanzo michuzi blog"

No comments: