Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, April 28, 2011

Usafiri huko maeneo ya Kamsamba na Igamba

Panaitwa Mlowo maeneo ya wilaya ya Mbozi Ambapo Hizi Fuso hutumika kaama usafiri wa mabasi kuelekea Kamsamba na Igamba,Usafiri huu hauna usalama kutokana  na kuwapanga abilia na mizigo pamoja

No comments: