Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, April 9, 2011

UWANJA WA SOKOINE MBEYA UMECHOKA

Huu ndio UWANJA wetu WA michezo jiji la MBEYA unajina kubwa sana unaitwa UWANJA WA sokoine unamilikiwa Na Chana chetu tawala lakini haulingani kabisa Na jina Hilo yaani hapo pamekuwa Kama dampo la kutupia uchafu Mara stand ya mabasi ya muda Mara kwa wamachinga sasa Soko kuu la jiji kwa muda UWANJA umechoka ile mbaya chama chetu tawala muwe Na msimamo Na karabatini UWANJA mna vibanda vingi mmepangisha pesa wapi?
Timu ya waandishi wa habari wakiwa tayari kupambana na wapinzani wao katika uwanja huo wa  kumbukumbu ya sokoine

2 comments:

Anonymous said...

mbeya inahitaji uwanja mpya,full stop.

Anonymous said...

priorities!!!! Tz priority is politics, neither country economy nor productions are in the prorities list..... poor Tz, politics will not help Tanzanian