Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, April 9, 2011

TANGAZO LA KIFO CHA MCHUNGAJI MSTAAFU ANDONGOLILE MWAMUGOBOLE WA KKKT DAYOSISI YA KONDE MBEYA

MCHUNGAJI ANDONGOLILE MWAMUGOBOLE WA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA
AMEFARIKI TAREHE 6 / 4 / 2011 KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA MAZISHI YATAFANYIKA
TAREHE 11 / 4 /2011 SIKU YA JUMATATU KATIKA USHARIKA WA BETHERI JIMBO LA MBEYA (SAE)
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
AYUBU 1:21

ASKOFU WA KKKT DAYOSISI YA KONDE DR. ESRAEL P. MWAKYOLILE , MSAIDIZI WA ASKOFU
G. MWAKIHABA  MKUU WA JIMBO MWAKIBUTU NA BAADHI YA WATOTO WA MAREHEMU
WAKIWA KATIKA MIPANGO YA MAZISHI



No comments: