Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, April 9, 2011

WAKAZI WA IYELA JIJINI MBEYA WAHITAJI DARAJA

Mimi nipo Na jiji langu la MBEYA Hembu kamilisheni daraja hili la iyela au bawa la ndege ni kiungo muhimu Na makaburi ya iyela daraja Lina miaka minne toka mmelibandika hapo wala hamlikamilishi kinacho said hapo ni bawa la ndege ya jeshi iliyoanguka maeneo hayo Na bawa moja kuangukia mtoni Na ndilo daraja imara kuliko daraja la jiji hongera bawa la ndege umeokoa jahazi

No comments: