Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, April 28, 2011

Walimu wawafanya wanafunzi ma House Girl

Watoto wakiwa wametoka kuchota maji kwa ajili ya matumizi ya walimu wao
Hii inasikitisha sana kuona Baadhi ya walimu katika shule za msingi huku Mbeya Vijijini kuwafanya wanafunzi wakike kuwa ndio watumishi wa ndani kwa kuwafanyisha kazi ngumu zikiwemo za kuwabebesha maji, kupika kukata kuni,kufua nguo na kazi zingine za ndani.

No comments: