Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 5, 2011

TBL yaanza kuuza bia zake nchi za jirani

Meneja wa Ghala la Kuhifadhia Bia wa TBL tawi la Mbeya,Bw. Innocent Mwaimu akimkabidhi makaratasi ya vibali kwa dereva wa Lori lililokuwa likisafirisha bia aina ya Castle lager kwenda nchini Zambia,Bw. Edson Ndanga ikiwa ni usafirishaji wa kwanza kwa bia hiyo kwenda nchi hiyo ya jirani. Makabidhiano hayo yalifanyika siku za hivi karibuni katika kiwanda cha bia Tanzania,tawi la Mbeya siku za hivi karibuni.kulia ni utingo wa Lori hilo. Na Danny Tweve Indaba

No comments: