Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 5, 2011

KIKAO CHA KWANZA CHA MKUTANO WA TATU WA BUNGE WAANZA LEO MJINI DODOMA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, akiingia ndani ya ukumbi wa Bunge kuongoza kikao cha kwanza cha mkutano wa tatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo asubuhi mjini Dodoma. 
Spika wa Bunge ,Anne Makinda akitoa ufafanuzi kwa wabunge kuhusu kanuni za uendeshaji wa shughuli za bunge leo mjini Dodoma..
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia katika mazungumzo na Mbunge wa Viti Maalum, Mary Mwanjelwa (katikati) na Mbunge wa Lupa , Victor Mwambalaswa (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu 

No comments: