Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 5, 2011

TANGAZO LA TAMASHA LA UCHANGIAJI WA VYOMBO VYA MUSIC!

THE MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR(KAMPUNI) inapenda kuwatangazia wananchi wote wa Mbeya kuwa watafanya Tamasha la uchangiaji wa fedha kwa ajili ya kupata vyombo vipya vya music siku ya Jumamosi ya tarehe 28/5/2011,kufuatia vile vya zamani kuungua kwa mitirafu ya umeme.

Pia tunapenda kuzikumbusha zile kwaya zote tulizozialika kuwa wajiandae kwan tamasha lipo siku ile ile kama ilivyopangwa

Watu wote wenye mapenzi mema THE MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR(KAMPUNI) tunawakaribisha ktk Tamasha hili la uchangiaji.

Imetolewa na:

MALANYINGI MATUKUTA

Katibu msaidizi wa Kwaya.

No comments: