Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, April 6, 2011

Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete apokea Ujumbe Maalum kutoka Kwa Rais Paul Kagame

Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda ulio wasilishwa na mjumbe maalum ambae pia ni Waziri na mwanasheria Mkuu wa Rwanda Bwana Tharcisse  Karugarama Ikulu jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Freddy Maro

No comments: