Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, April 6, 2011

NMB YAZINDUA HUDUMA MPYA YA NMB FARAJA KWA WATEJA WAKE

Ofisa Mkuu wa biashara wa Benki ya NMB, Kees Verbeek na Ofisa Mtenadaji Mkuu wa African life Assurance, Julius Magabe (kulia) wakizindua rasmi huduma mpya ya ‘NMB FARAJA’ yenye lengo la kuwanufaisha wateja wa nmb wenye akaunti binafsi pale wanapopatwa na matatizo ya msiba. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam leo. (wapili kushoto) ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliani wa NMB, Imani Kajula.

No comments: