Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, April 6, 2011

WALINZI WA SECURITR GROUP MBEYA WAGOMA MBEYA

Wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya Security Group ya Mbeya wakiwa katika mgomo baada ya kufukuzwa kazi

Wafanyakazi zaidi ya 150 wa kampuni ya ulinzi ya Security Group Mbeya wakiwa katika mgomo baada ya kampuni hiyo kuwafukuza kazi kwa madai kuwa mkataba wao umemalizika. 
Na Mdau Jirani Francis Godwin ni mzee wa matukio daima

No comments: