Mauzauza wilayani Mbozi kijana huyu anadaiwa kuchomoa noti ya elfu kumi kwa mtu mmoja na kujikuta noti hiyo ikiwa imenasa mkononi mwake, kama anavyoonekana pichani akiwa amelazwa katika zahanati ya Mlowo wilayani humo. picha na Rashidi Mkwinda
2 comments:
Anonymous
said...
Sasa itakuwaje Wadau, tunaomba kisa hiki mkifuatilie mpaka mwisho, Je atafanyiwa operation ndogo?
2 comments:
Sasa itakuwaje Wadau, tunaomba kisa hiki mkifuatilie mpaka mwisho, Je atafanyiwa operation ndogo?
Hii kali
Post a Comment