Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, April 10, 2011

DAWA YA WEZI YAPATIKANA MBOZI

Mauzauza wilayani Mbozi kijana huyu anadaiwa kuchomoa noti ya elfu kumi kwa mtu mmoja na kujikuta noti hiyo ikiwa imenasa mkononi mwake, kama anavyoonekana pichani akiwa amelazwa katika zahanati ya Mlowo wilayani humo.  picha na Rashidi Mkwinda

2 comments:

Anonymous said...

Sasa itakuwaje Wadau, tunaomba kisa hiki mkifuatilie mpaka mwisho, Je atafanyiwa operation ndogo?

Anonymous said...

Hii kali