Daah kamera ya Mbeya Ye (crabs) tu ilipata nafasi ya kwenda sehemu moja huko kwa wachina tehe nikapata nafasi ya kutafuna Kaa pia na wadudu wengi sana ikiwepo na supu ya Flog na vingine vingi sana...ilikua experience poa sana hapa chini ni baadhi ya menu
Shughuli Rasmi ndo ilianzia hapa nilipo pokea Bakuri la Kaa (Crabs) kibao
Sinia ndo Limesha Tua chini tayali kuanza kazi
Nyundo hizo zinatumika kupasulia Shell ya Kaa maana ni ngumu sana
Kazi imeanza ya kutafuna
Nilipata jua kutumia kakijiti pia tehe
Daa mtamu huyo balaa
Round ya kwanza inaelekea Ishia hoi
Baada ya kumaliza Mtafuna Kaa Crabs mambo huwa kama hapo
Duu Raundi ya pili imeanza ilikua balaa shiba Mbaya lakin Swaga zikaendelea
Mwandishi Fredy Njeje akiwa katika Bango la kiota ambapo ndipo Tukio lote lilifanyika. Kamera ya Mbeya yetu itawaletea marukio zaid..endelea Fuatilia.
No comments:
Post a Comment