Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, April 20, 2011

Bonanza kabambe la Mlimani City Shoping Carnival kuanzia Tar 20.04.2011 mpaka 27.04.2011 punguzo la bei zaidi ya 40% msikose viwanja vya Mlimani City


 Hii ni Video ya Plomo ambapo Mbeya yetu walikuwepo eneo la Mlimani City kushuhudia maandalizi ya Mlimani City Carnival ambapo kutakua na punguzo la zaidi ya asilimia 40% ya Bidhaa msikose tembelea viwanja hivyo ndani ya Mlimani City.
 Kutoka kulia Jamaa wa tatu ni Dj CBH na wa nne ni Mtangazaji wa Tone Radio na mwandishi wa Mbeya yetu Blog Fredy Njeje na jamaa aliye vaa kofia ni Dj Gaby na wadau wengine katika eneo la tukio

Bosi wa Tone Radio wa Nne kutoka Kushoto Sillah Mbuya akiwa na waandaji wa Bonanza hilo.
Watakuwepo live kesho
Ndani ya nyumba
Na wengine Kibao msikose kunzia kesho mpaka Baada ya siku Saba tutaendelea kuwaletea tukio zaidi

1 comment:

Anonymous said...

Nkuona mchiziiiiii wangu Dj Frenje