Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, April 20, 2011

Yale yale

Hapa ni maeneo ya Mlimani City bara bara ya kuelekea Chuo kikuu cha Dar es Salaam, ambapo wamekataza kusifanyike biashara ya aina yoyote ile.
Lakini katika jambo la kushangaza eneo hilo hilo ambapo pamekatazwa biashara za aina yoyote zisiendelee, Biashara ya  Bajaji inaendelea kama kawa. Na tulipo jaribu kuwauliza usiku huu kwa nini wamekataza biashara zisiendelee eneo hilo hawakua na la kuongea. kesho tutakua na mahojiano nao ya moja kwa moja endeleeni kuwepo.

No comments: