hivi nyie hamuwajui wakenya roho mbaya imewakaa, sisi tunawajua hata huku Uk, wanajisikia sana hawana lolote .kweni nani amewaambia waende kwa babu wamelazimisha huyo waziri asituingile ya kwao yamewashinda watuachie babu yetu.
nani? amkamate babu? huyu mama anaejita waziri mwehu nini? kwanza yuko kenya huko yeye pilipili ya Tanzania yamwashia nini? mwenye shida mfate maganga kwani hao wakenya wametumwa kuja huku kwetu Tanzania, yehu hadi kichefu chefu kumskiliza.
hivi anadhani sisi watanzania ni vichaa kumuacha babu afanye hiyo tiba this minister is out of her mind watu wanapona yaani ametufanya sisi ni punguani hatujui lolote kama anataka cha moto ajaribu kumkamata then aone watz na wengine wanaosupport hili kama tuna akili au vp
watanzania mmefilisika!! sio mifukoni tu na hata kiakili!! inaonyesha jinsi mlivyo bado duni katika mambo mengi!! naungana na waziri wa PUBLIC HEALTH Kenya - hawa watu wanaotoa vikombe wakamatwe wapelekwe MIREMBE Dodoma kwa matibabu - waumwa hawa!!!?
5 comments:
mwehu huyu waziri hajui alinenalo wakat wakenya wanapona na kufaidika hana akili kabisa

Post a Comment