Kaimu mkuu wa mkoa Moses chitama na kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa mbeya Advocate Nyombi wakimsikiliza mmoja wa wagonjwa Hassan akitoa ushuhuda wa dawa ya Jafari |
Tuesday, March 29, 2011
HATIMAE KIKOMBE CHA MABATINI MBEYA CHARUHUSIWA
Kaimu mkuu wa Mkoa Mbeya Moses Chitama akiwatuliza wananchi wenye jazba ya kusimamishwa mganga wa jadi Jafari Willina kutoa tiba ya ukimwi na magonjwa mengine sugu baada ya kutulia kaimu mkuu wa mkoa huyo aliwaeleza wananchi kuwa serikali ya mkoa imeruhusu kuendelea kupata kikommbe hicho cha dawa kwa kuzingatia taratibu zote za afya pia na kumuagiza kijana Jafari kutafuta eneo jingine kubwa lenye maji na choo kwani hapo alipo sasa si eneo salama sana kwa afya ya binadamu
Jafari willina akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuruhusiwa kuendelea kutoa tibaMzee Anangisye naye hakuwa mbali na kuandamana kupinga kusitishwa kwa kikombe cha mabatini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment