| Bi Harusi mtarajiwa Sekela Simon Mchaba |
| Bwana harusi mtarajiwa akiwa na Bi Harusi mtarajiwa Sekela Simon Mchaba katika ukumbi wa Rehema jijini Mbeya |
| Bi Harusi mtarajiwa Sekela Simon Mchaba akiwa na mama yake mzazi |
| Picha ya pamoja na wapambe wake |
| Ndani ya ukumbi wa Rehema hongera kamati ya mapambo na burudani ukumbi ulipendeza |
| Wazazi wa Bi harusi mtarajiwa |
| Wazazi wa Bwana harusi mtarajiwa |
| Bi Harusi mtarajiwa Sekela Simon Mchaba akilishana keki na mpambe wake |
| Nswila .O.A Mwenyekiti wakamati kuu ya sherehe ya kumuaga Sekela akifungua sherehe |
| Zawadi mbalimbali toka kwa waalikwa zilitolewa kwa Sekela Na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment