Moja ya walemavu wa akili akiokota chakula eneo hilo |
Ni hatari kwa watoto na kwa wale wenye ulemavu wa akili maana taka hizo ninanuka sana |
Kero nyingine mitaa hiyo hiyo ya forest ni majitaka yanayotiririka toka kwenye nyumba na kuingia mtaani huku wahusika wakipota hapo bila ya kuchukua hatua yeyote jamani mwabwana afya mpoooo? |
Maji taka hayooo yanaendelea na safari ya kuchafua mtaaa |
Safari inaendelea na huku harufu mtaa mzima |
Na Mbeya yetu |
1 comment:
Da! hii hali inatisha, yaani jina lenyewe na uchafu uliopo ni vitu viwili tofauti. Aibu sana jamani uchafu si swala la kulifumbia macho. Kama uko mchafu kwa nje je kwa ndani inakuwaje? tuige mfano wa mkoa wa Moshi au Kilimanjaro na Mwanza. Mtu akikamatwa anatupa taka hovyo 50, 000/= faini nafikili tutakomesha wachafu tu. Hii ni aibu sana jamani halmashauri iajiri watu wa kuzoa taka hizi, tuwape watu ajira ili kukomesha wazururaji mitaani. Ni aibu saaaaana hasa kwa jiji kubwa na linaloeleweka kama Mbeya, mahali kwenyewe "Forest"
Post a Comment