JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MFUKO
WA PENSHENI WA PSPF
Bodi
ya Wadhamini na Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) unatoa
salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,
Wizara ya Fedha na Familia ya aliyekuwa Waziri wa Fedha Marehemu Dkt. William
A. Mgimwa
Mfuko
utamkumbuka kwa ushauri wake na ushirikiano aliouonyesha akiwa Waziri wa Fedha katika
kufanikisha maendeleo na ustawi wa Mfuko.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema
peponi.
AMIN
No comments:
Post a Comment