| Chemba ya majitaka eneo la stendi kuu ya mabasi barabara iendayo Mabatini imefurika ile mbaya leo ni siku ya pili |
| Hii ndiyo hali halisi |
| Majitaka hayo yameanza safari |
| Safari inaendelea kuelekea mto Mabatini |
| Haya ni maeneo ya kanisa la Wasabato maji taka hayo yanakata kona kuingia mtoni |
| Maji taka sasa yameingia mto Mabatini |
| Maji taka hayo yameungana na maji ya mto mabatini maji ya mto Mabatini hutumika kumwagilia bustani kufulia nguo na hata kuoga je tutapona na mlipuko wa magonjwa ya kipindupindu? |
Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment