Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, February 21, 2012

MVUA ILIYONYESHA JANA MAENEO YA IYUNGA MBEYA YAHARIBU BARABARA NA MIUNDO MBINU YA MAJI

Hii ni barabara ya kata ya kalobe jijini mbeya maji ya mvua yakiwa yanapita juu ya barbara hiyo huku magari yakisubiri kupungua wa kasi ya maji hayo ili yaweze kupita

Hizi ni nyumba ambazo zipo pembezoni mwa mto kalobe zikiwa hatarini kukumbwa na mafuriko wakati wowote

Nyumba hii ipo hatarini muda wowote kukumbwa na mafuriko

Bomba la maji safi likiwa limekatika baada ya kuangukiwa na moja ya kuta za nyumba zilizojengwa pembezoni mwa mto huo





1 comment:

Anonymous said...

dah nyumbani Mbeya nakupenda sana na nakumiss sana maana huwa naenda mara moja kwa mwaka na mara nyingine baada ya miaka miwili, nasikitika na maeneo hao ya Kalobe kwa janga walilopata, maana mzee wangu kapata nyumba maeneo hayo pia, poleni sana ndugu zangu, tuiombee serikali itengeneze miundo mbinu iache kelele za kuwabeba wala rushwa