Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, February 13, 2012

LANGO LA KUINGIA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA PAGEUZWA ENEO LA KUOSHEA MAGARI

Nje la mlango wa kuingia hospital ya rufaa mbeya pamegeuzwa eneo la kuoshea magari huku wahusika wakifumbia macho swala hilo na maji yakitiririka barabarani na kuchafua eneo hilo la hospitali hiyo



No comments: