RAISI KIKWETE AKIWASILI KATIKA UWANJA WA SOKOINE KWA AJILI YA KILELE CHA MEI MOSI. |
BAADHI YA VIKUNDI VYA BURUDANI VIKITUMBUIZA UWANJANI HAPO. |
BRASS BAND YA JESHI LA MAGEREZA KUTOKA KIWIRA IKIONGOZA MANDAMANO KUINGIA UWANJANI. |
RAISI PAMOJA NA MEZA KUU WAKIPIGA MAKOFI KUASHIRIA KUPOKEA MAANDAMANO. |
VIKUNDI VIKIINGIA UWANJANI KWA MAANDAMANO YALIYOPITA MBELE YA RAISI. |
UONGOZI NA MASHABIKI WA TIMU YA JIJI LA MBEYA HAWAKUWA NYUMA. |
SKAUTI PIA WAKIPITA MBELE YA MGENI RASMI KWA UKAKAMAVU MKUBWA. |
BAJAJI NAZO HAZIKUWA MBALI KUSHIRIKI MAANDAMANO HAYO. |
MHESHIMIWA RAISI AKIHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI NA WAFANYAKAZI WALIOKUSANYIKA UWANJANI. |
RAISI KIKWETE AKITOA TUZO KWA WAFANYAKAZI BORA BAADA YA KUMALIZA HOTUBA, ANAYEPOKEA ZAWADI NI MKURUGENZI WA JIJI LA MBEYA JUMA IDDI. |
MEYA WA JIJI LA MBEYA ATANUS KAPUNGA AKIMPONGEZA MKURUGENZI WA JIJI HILO KWA KUPEWA TUZO YA MFANYAKAZI BORA KITAIFA. |
RAISI AKIONESHA GAZETI LA MFANYAKAZI BAADA YA KULIZINDUA. |
RAISI KIKWETE HAKUSITA KUMKUMBUKA RAFIKI YAKE MGAYA KWA KUMKABIDHI CHETI KWA NIABA YA TUCTA. Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment