Moja ya wachezaji wa Magereza Fullmensi akirusha kishale katika mchezo huo baina ya Apple Line na Magereza |
Mwenyekiti wa klabu ya Apple Line Weston Msisya akisisitiza kwa refa kuwa hajakosea bali amelenga penyewe |
Wachezaji wa timu zote mbili wakiwa makini kufuatilia mchezo huo |
Mwenyekiti wa Apple Line msisya akitambulisha wachezaji wake katika mechi hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa magereza jijini Mbeya |
Hapa si ugomvi bali ni kutambiana tu kila mmoja anamtambia mwenzake kuwa mechi ijayo atashinda |
Wachezaji wa Apple Line na Magereza wakipongezana mara baada ya kumaliza mechi, Apple Line waliibuka washindi katika mchezo huo wa vishale |
1 comment:
Umenikumbusha nyumbani aisee, hilo bwalo nimekaa sana, nimeangalia sana soka humo, nimekula sana chips hapo yani dah. Mzee Mbaga huyo pichani na koti leupe ndo mjumbe wetu mtaani kwetu, mfikishie salamu tafadhari. Am always on this site kujua nini kinaendelea Mbeya(mamaland), na kama bahati watu wengi kwenye picha nawajua mimi si ndo mtoto wa mbeya bwana. Ukiona hit from Indiana, USA ndo mimi mzazi. ONE
Post a Comment