HII NI SEHEMU KUU AMBAYO MAHARUSI WANATEGEMEA KUKAA MUDA MCHACHE UJAO
HII NI MEZA KUU AMBAPO WENYEWE HAWAJA WEKEWA RAMBO
HIVI NDIVYO UKUMBI WA MKAPA UNAVYO ONEKANA KWA NDANI
WAKIWA WANA ANDAA VINYWAJI KABLA YA KUWAPA WAGENI WAALIKWA MUDA HUU
VINYWAJI VIKIWA VIMEKAMILIKA KWA AJILI YA KUGAWIWA KWA WAGENI WAALIKWA
WAGENU WAALIKWA WAKIWA WANAPITA KUPATA RAMBO AMBAYO INA VUNYWAJI NDANI MUDA HUU
BAADHI YA WAGENI WAALIKWA WAKIWA WANAPATA VINYWAJI MUDA SI MREFU
MMOJA WA WANAKAMATI WAKIWA WANAWEKA VINYWAJI SAWA KWA AJILI YA KUWAPA WAGENI WAALIKWA
WADAU WAKIWA WAMEWEKA RAMBO CHINI HUKU WAKIPATA VINYWAJI
2 comments:
Harusi nzuri ila wameharibu kwa kufanya mambo ya kishamba puuu!! Wagen mmezalilishwa
kweli aibu jamani
Post a Comment