HILI NI ENEO AMBALO MAJI TAKA AMMBAYO YAMECHANGANYIKA NA KINYESI YANATOKA KATIKA CHEMBA ZINAZO TOKA KOTA ZA POLISI BARA BARA YA KUELEKEA SABA SABA MUDA HUU
MAJI HAYI MACHAFU YANA TOKA KUELEKEA MTO META
MAJI HAYO MUDA HUU YAKIWA YANAENDELEA KUFUATA MKONDO KUELEKEA MAENEO YA MTO META, MENGINE YANAELEKEA VIWANJA VYA SABA SABA NA MAKABURINI
BADO TUPO ENEO LA TUKIO TUNAFUATILIA MAJI HAYA YANAPO ELEKEA ZAIDI HAPA YANAONEKENA KUPITA KANDO KANDO YA BUSTANI ZA MBOGA MBOGA
MAJI HAYA YANAONEKANA KUSHUKA KATIKA MTO META HUKU PEMBENI KUKIWA NA BUSTANI MBALI MBALI ZA MBOGA MBOGA
KUSHOTO NI MAJI MACHAFU AMBAYO YANATOKA KATIKA CHEMBA ZA KOTA ZA POLISI NA YANATUMIKA KUMWAGILIZIA HIZI MBOGA AMBAZO NDIZO WANAUZIWA WAKAZI WENGI WAISHIO MAENEO YA MBEYA MJINI HASA UHINDINI.
HAPA MAJI TAKA AMBAYO YAMESHA FIKA ENEO LA BUSTANI ZA MBOGA MBOGA
HIVI NDIVYO WANAVYO FANYA UMWAGILIAJI WA MBOGA MBOGA HIZO ZA MAJANI AMBAPO WAMEWEKA VITALU MBALI MBALI NA MIFEREJI ILI MAJI YAPATE KUPITA
MAJI YAKIWA YANASHUKA MTO WA META
HILI NI JENGO LA IDARA YA MAJI AMBAO NDIO WAHUSIKA WAKUU NA WAPO JIRANI KABISA NA ENEO HILO.
*******
BAADA YA KUMALIZA KUCHUNGUZA ENEO HILI TUMEBAKIA NA MASWALI MENGI SANA. JE MAMLAKA YA MAJI PAMOJA NA KUWA JIRANI NA ENEO HILO HAWAONI HILI TATIZO?
No comments:
Post a Comment