Hili ndilo Gari aina ya Rav4 ambalo liligonga Gari kubwa kwa nyuma na kuingia mtaroni
*****
Katika ajali hiyo iliyo tokea jana majira ya usiku wakati Dereva huyo mlevi alikuwa anaelekea Tunduma akiwa yeye mke wake na Mtoto mdogo kichanga, alikuwa anaendesha Gari hilo huku akiwa anayumba yumba sana na kusababisha ajali baada ya kugonga lori taili la nyuma , hakuna aliye poteza maisha mama na mtoto wametoka wazima lakini Dereva ambaye alikuwa amelewa ndio ameumia vibaya na sasa yupo hospital kwa matibabu. Hata hivyo ndani ya Gari hilo wameiba kila kitu.
Picha na Mdau Shabani Mwakalinga
No comments:
Post a Comment