Hii ndio stage iliyo kuwa imeandaliwa kwa ajili ya zawadi hizo
Wanafunzi wakiwa wanangojea kwa hamu kupokea tuzo hizo bila kujua kuwa zimaahirishwa
Afisa Tawala wa wilaya ya Mbeya Ndugu Geoffrey George Annaniah ambaye pia alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya mkuu wa wilaya akiwa anaondoka zake baada ya kuona kwamba hakuna Tuzo hizo
No comments:
Post a Comment