Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, March 23, 2012

KUMBUKUMBU YA MPENDWA BABA YETU JOHN JAHANI MWAISANGO

MAERHEMU JOHN JOHANI MWAISANGO

KWAKWELI BADO INATUWIA VIGUMU KUAMINI KUWA LEO IMETIMIA MIAKA TISA 9  TANGU UTUTOKE HAPA DUNIANI MPENDWA BABA YETU INGAWA HAUPO NASI TENA KIMWILI, MOYO WAKO WA HEKIMA NA UPENDO UTAENDELEA KUBAKI NASI DAIMA NA KUENDELEA KUWA MWONGOZO WA MAISHA YETU BABA YETU MPENDWA  UNAKUMBUKWA SANA NA WANAO, WAJOMBA ZAKO, NA NDUGU NA JAMAA ZAKO WOTE TUNAMSHUKURU SANA MUNGU KUTUPA NGUVU NA UJASIRI WA KUENDELEA KUTIMIZA NDOTO YAKO YA KUISHI KWA UPENDO NA MSHIKAMANO NA TUNAWASHUKURU SANA WOTE AMBAO WAMEKUWA NASI MUDA WOTE KATIKA KUKUKUMBUKA NA KUKUENZI

TULIKUPENDA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI 

No comments: