Baadhi ya maduka yaliyopanga bidhaa zao nje ya maduka ambayo sasa utaratibu huo umepigwa marufuku na jiji la mbeya |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Baadhi ya maduka yaliyopanga bidhaa zao nje ya maduka ambayo sasa utaratibu huo umepigwa marufuku na jiji la mbeya |
2 comments:
Kweli huu ni unyanyasaji kwa wafanyabiashara...kwanza watu wengi hufanya usafi wenyewe kwenye maeneo yao ya kazi na kweli maeneo mengi ya maduka yamekuwa mstari wa mbele katika swala la usafi bila msaada wa wasafisha jiji, na pili hiyo kero ya waenda kwa miguu ndo kwanza naisikia kwa huyu mkurugenzi utadhani yeye ndo anapita pita kwenye maeneo ya biashara ya watu...kweli sijui tutafika wapi na unyanyasaji huu walianza kwa wamachinga sasa wamefika mpaka hapa
wamekosa ulaji hao wanatafuta cha kutia mfukoni, wakubwa wanakula nchi sasa tusishangae vijigogo kama hawa!!!!!
Post a Comment