Msanii wa Vichekesho King Majuto akiwa na mchekeshaji nwenzake wakionesha vituko vyao jukwaani wakati wa tamasha la burudani la miaka 50 ya Uhuru wa Kuongea lililoandaliwa na Kampuni ya simu ya Mkononi ya Airtel na kufanyika katika viwanja vya Luandanzove mjini Mbeya mwishoni mwa wiki, airtel pia ilisherehekea uzinduzi rasmi wa minara 20 katika vijiji ishirini ili kutoa mawasiliano bora mkoani mbeya
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Fleva Roma akitumbuiza mamia ya wakazi wa mji wa Mbeya na vitongoji vyake wakati wa tamasha la burudani la miaka 50 ya Uhuru wa Kuongea lililoandaliwa na Kampuni ya simu ya Mkononi ya Airtel na kufanyika katika viwanja vya Luandanzove mjini Mbeya mwishoni mwa wiki, airtel pia ilisherehekea uzinduzi rasmi wa minara 20 katika vijiji ishirini ili kutoa mawasiliano bora mkoani mbey.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Fleva Barnaba Boy kutoka kundi la THT akitumbuiza mamia ya wakazi wa mji wa Mbeya na vitongoji vyake wakati wa tamasha la burudani la miaka 50 ya Uhuru wa Kuongea lililoandaliwa na Kampuni ya simu ya Mkononi ya Airtel na kufanyika katika viwanja vya Luandanzove mjini Mbeya mwishoni mwa wiki, airtel pia ilisherehekea uzinduzi rasmi wa minara 20 katika vijiji ishirini ili kutoa mawasiliano bora mkoani mbeya
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Fleva Juma Nature akitumbuiza mamia ya wakazi wa mji wa Mbeya na vitongoji vyake wakati wa tamasha la burudani la miaka 50 ya Uhuru wa Kuongea lililoandaliwa na Kampuni ya simu ya Mkononi ya Airtel na kufanyika katika viwanja vya Luandanzove mjini Mbeya mwishoni mwa wiki. airtel pia ilisherehekea uzinduzi rasmi wa minara 20 katika vijiji ishirini ili kutoa mawasiliano bora mkoani mbeya
B Boyz waliingia tena kivingine na kutimua watu uwanjani wakidhani kuna misukule imeingia hapo kwani walitokea chini ya jukwaa kwa mbele.
Vijana wa kundi la B Boys kutoka Kinondoni jijini Dar es Salaam wakitoa burudani ya aina yake wakati wa tamasha la burudani la miaka 50 ya Uhuru wa Kuongea lililoandaliwa na Kampuni ya simu ya Mkononi ya Airtel na kufanyika katika viwanja vya Luandanzove mjini Mbeya mwishoni mwa wiki, airtel pia ilisherehekea uzinduzi rasmi wa minara 20 katika vijiji ishirini ili kutoa mawasiliano bora mkoani mbeya
DJ Mayanga wa Mbeya FM na The Vibes Club ya jijini Mbeya akifanya makamuzi ya kupoteza njia watu.
Mzee King Majuto akiwa katika kundi la watoto
Hii ni sehemu tu ya umati wa watu waliofurika katika viwanja vyo jana.
No comments:
Post a Comment