Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, September 17, 2011

Nape Nnauye Azindua Kampeni za CCM za Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Kata ya Urughu

Nape akihutubia mkutano wa hadhara katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Urughu wilaya ya Iramba mkoani Singida.
MWENYEKITI wa CHADEMA wilaya ya Singida mjini ambaye pia ni mjumbe wa Baraza Kuu na Kamati Kuu ya CHADEMA, Nakamia John (kulia) akikabidhi kadi yake ya chama hicho kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipoamua kuhamia CCM katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Urughu, uliofanyika jana.
Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishiriki kucheza ngoma na vijana wa kikundi cha Makhirikhiri wa Kisukuma, katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Urughu, Iramba mkoani Singida jana.



No comments: