Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, September 16, 2011

MKUU WA MKOA WA MBEYA AAPISHWA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha wakuu wa mikoa aliwateua hivi karibuni.Sherehe za kuwaapisha wakuu hao wapya wa mikoa ilifanyika leo asubuhi katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam.Pichani Mkuu mpya wa Mkoa wa Mbeya Abasi Kandoro akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete na kukabidhiwa miongozo ya kazi
Mkuu wa mkoa Mbeya akikabidhiwa mwongozo wa kazi

1 comment:

Anonymous said...

anze kazi mara moja... maana huu moto wa leo unahitaji uongozi mzuri