Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, September 16, 2011

BREAKING NUUUUUUUUUUUUUUUUZ: SOKO KUU LA SIDO JIJINI MBEYA LINATEKETEA KWA MOTO HIVI SASA



HABARI AMBAZO ZIMETUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA KWAMBA SOKO KUU LA SIDO JIJINI MBEYA AMBALO LIPO ENEO LA MWANJELWA  LINATEKETEA KWA MOTO MUDA HUU,HABARI KAMILI ITAWAJIA MPAKA SASA HAIJULIKANI CHANZO NI NINI MWANDISHI WETU YUPO ENEO LA TUKIO PAKA SASA HAPATOSHI WATU WAMEJAA SANA SANA 

3 comments:

Anonymous said...

Jamni huko Mbeya kuna nini? Mbona moto kila wakati?

Yasinta Ngonyani said...

hIVI NI NINI JAMANI MWEZI HUU...INASIKITISHA SANA

Yasinta Ngonyani said...

Ni ajali kubwa kwa kweli cha kushukuru ni kwamba hakuna aliyejeruhiwa ..au nisema namwomba Mungu isiwe hivyo..nimeongea na kakangu alikuwa na ofisi yake hapo anasema hali ni mbaya sana...