Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, August 1, 2011

FFU WA NGOMA AFRICA BAND JINO KWA JINO NA WASHABIKI WA AFRICA & CAREBBEAN FESTIVAL, FRANKFURT,JUMAMOSI 6.08.2011

Maelefu ya washabiki mjini Frankfurt wanatarajiwa kuvaana uso kwa uso, jino kwa jino na bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya "Ngoma Africa band" katika onyesho kubwa la kimataifa la "Africa & Carebbean Festival,litakalo fanyika katika viwanja vya Robestock Park, mjini Frankfurt,Ujerumani siku ya jumamosi 6.08.2011, ambako kamanda Ras Makunja wa FFU ataongoza kikosi chake jukwaani,bendi hiyo yenye utajili wa washabiki na wanamziki wenye vipaji miongoni mwao akiwemo mpiga solo gitaa Chris-B.
Ngoma Africa band wanatamba na nyimbo yao mpya ambayo ni zawadi ya miaka 50 uhuru, nyimbo hiyo 'Bongo Tambarare' inasikika katika kambi ya FFU at www.ngoma-africa.com

No comments: