Kikosi kazi cha Fiesta katika picha ya pamoja usiku wa leo katika onyesho maalumu la Serengeti Fiesta 2011.
Kama kawaida mashabiki wakiguswa na kufurahi huwa hawana hiana hivyo Dully na yeye akapata kilichochake.
Mkurugenzi Mahusiano wa Kampuni ya Serengeti Teddy Mapunda (Kushoto) na Mkurugenzi Masoko SBL, Caroline Ndungu.
Barnaba na yeye alikuwepo katika kutoa burudani saafi iliyokonga watu na mashabiki waliojitokeza
Habari Ze'nu bana haina Majotroo, aisee huku dom kweli hakuna Majoto kuna kibariki kikali acha tu, haya wadau hizo ni baadhi ya amshaamsha ya tamasha la Serengeti Fiesta Dodoma ambapo mpangomzima ilikuwa ni katika ukumbi wa Royal Village uliopo Area D, Mkabala na Mlimwa West.
Mtangazaji wa Kipindi Cha XXL, BTwelve akiwa jukwaani kama Mshereheshaji, kwenye onyesho maalum la Fiesta 2011 ndani ya ukumbi wa Royal Village Dodoma.

Na Khadija Khalili - Bongo Weekend Blogu
No comments:
Post a Comment