Baadhi ya wasanii wa mkoani Shinyanga wakiwa jukwaani mchana huu tayari kwa amsha amsha kwa tamasha la Serengeti Fiesta 2011 ndani ya uwanja wa Kambarage,
Mmoja wa watangazaji mahiri wa Clouds FM/TV pichani kulia Wasi Wasi Mwambulambo akiwa na fundi mitambo, Dj Haroun wa Prime Time Promotions Ltd mchana huu ndani ya Uwanja wa Kambarage tayari kwa kulianzisha tamasha la Serengeti Fiesta 2011.
Baadhi ya wakazi wa Shinyanga na vitongoji vyake wakianza kumiminika mchana huu ndani ya Uwanja wa Kambarage kwa ajili ya kushangweka na msimu wa dhahabu unaoendelea na Serengeti Fiesta 2011.
Baadhi ya wateja wakiwa kwenye moja ya banda la Serengeti Premium Lager,wakiangusha moja moja taratiiibu bila majotroo wala nini.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya SBL mkoani Shinyanga wakijipanga vyema mikakati ya mauzo ya vinywaji vya kampuni hiyo kwa wateja wao . |
Baadhi ya wakazi wa Shinyanga na vitongoji vyake wakianza kumiminika mchana huu ndani ya Uwanja wa Kambarage kwa ajili ya kushangweka na msimu wa dhahabu unaoendelea na Serengeti Fiesta 2011.
Habari kwa HIsani ya Jiachie Blog
1 comment:
"Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya SBL mkoani Shinyanga wakijipanga vyema mikakati ya mauzo ya vinywaji vya kampuni hiyo kwa wateja wao".Siyo kweli. Hawa ni mabouncer waliovalishwa uniform za SBL na kazi yao ni kulinda usalama tu si vinginevyo. mdau gongolamboto..
Post a Comment