Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wakulima wa mikoa mitano ya Zanzibar,wakiwa wawakilishi katika uzinduzi wa Uvunaji wa Mpunga wa mbegu,aina yaNERICA, huko katika shamba la kilimo la Mbegu hiyo Bambi Mkoa wa Kusini Unguja jana
Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali MohamedShein,akishiriki katika uzinduzi wa Uvunaji wa Mpunga wa mbegu,aina yaNERICA,huko katika shamba la kilimo la Mbegu hiyo Bambi Mkoa wa Kusini Unguja jana.
Baadhi ya Maofisa wa Serikali ya Mapinduzi,wakiwa katika uzinduzi wa Uvunaji wa Mpunga wa mbegu,aina ya NERICA, huko katika shamba la kilimo la Mbegu hiyo Bambi Mkoa wa KusiniUnguja jana
Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali MohamedShein,akisalimiana na Waziri wa Kilimo na Maliasili,Mansour Yussuf Himidi,aliposhiriki katika uzinduzi wa Uvunaji wa Mpunga wa mbegu,aina yaNERICA,huko katika shamba la kilimo la Mbegu hiyo Bambi Mkoa wa Kusini Unguja jana.Picha na Ramadhan Othman, Ikulu-Zanzibar
Habari kwa hisani ya Haki Ngowi
Habari kwa hisani ya Haki Ngowi
No comments:
Post a Comment