Baadhi ya wafanykazi TBL nafamilia zao wakiingia viwanja vya ifisi Mbalizi mbeya |
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL katika picha ya pamoja |
Michezo mbali mbali ilikuwepo mojawapo ya kuvuta kamba |
Watoto kukimbia huku wamevaa magunia |
Dada akionyesha umahili wake wa kupiga danadana |
Wafanyakazi wakisakata rumba |
Mazoezi ya viungo pia yalikuwepo |
Mashindano ya kufukuza kuku |
Alaji hiyoooo |
Watoto Wakiwa wanafurahia sikukuu
Michezo mbalimbali ya watoto ilikuwepo |
Haya sasa ile watu wanasema Tingisha sasa Imekwisha
Wadau wakiwa wamejiachia kwa nafasi
No comments:
Post a Comment