Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa kiongozi wa ujumbe wa Wabunge Kutoka Vietinam, Mh. Pham Minh Tuyen baada ya kufanya mazungumzo na ujumbe huo, ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Juni 22,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Busanda Lolesia Bukwimba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 22, 2011.
Mbunge wa Viti Maalum Mchungaji Dk. Getrude Rwakatare akizungumza na wanafunzi wa shule ya Msingi ya Temeke waliotembelea Bunge Mjini Dodoma Juni 22, 2011.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Habari kwa hisani ya Mo Blog
No comments:
Post a Comment