Hapa Gari aina ya Fuso inaonekana imepaki bara barani katika kijiji kimoja Mbeya. likipaki mzigo
Baadhi ya Jamaa wakiwa wanataka saidia kupajia mzigo eneo hilo wakati magari mengine yanangoja kupita
Hapa wanaelekea kumaliza pakia Mzigo ili waendelee na safari Magari mengine yalishindwa pita pembeni kutokana na Mtaro mbele.
No comments:
Post a Comment