|
Mkurugenzi Mtendaji wa M-Net Afrika Biola Arabi akizungumza jioni ya leo wakati wa uzinduzi wa chaneli mpya ya Kiswahili (AFRICAMAGIC SWAHILI)ndani ya hoteli ya Movenpick jijini Dar,Chaneli hiyo inatarajiwa kuruka hewani kuanzia Julai 1, 2011 ambapo Bongo Movies zinatarajiwa kupewa shavu sana. Aidha chaneli hiyo itakuwa ikionekana kwenye nchi rafiki zinazoongea lugha ya Kiswahili ikiwemo Kenya,Uganda,Rwanda,Ethiopia,Burundi,Congo pamoja na DRC |
Mmoja wa wachezaji na watengenezaji mahiri wa filamu hapa nchini na wenye kuonesha mafanikio makubwa katika tasnia hiyo, Steven Kanumba, akifafanua jambo wakati wa chaneli AFRICAMAGIC SWAHILI itayoanza rasmi Julai 1, 2011 kupitia DSTV kwenye hoteli ya Movenpick jijini Dar. Picha na Michuzi Jr wa Jiachie.
Habari kwa hisani ya Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment