Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, May 18, 2011

Wilaya ya Mjini yaibuka kidedea Vodacom Muungano Cup Zanzibar


Waziri wa Michezo wa Zanzibar Abdullahi Jihadi Hassan (kushoto) akimkabidhi mwakilishi wa timu ya Kaskazini A, Kombo Sheha pesa za nauli kwa ajili ya nauli ya timu yake iliyoshiriki mashindano ya Vodacom Muungano Cup kundi mashindano yaliyomalizika juzi Zanzibar. Vijana ya Wilaya ya Mjini Unguja ndiyo iliyochukua nafasi ya kwanza na inatarajiwa kucheza na bingwa wa kundi la Tanzania bara. Kundi la Tanzania bara liko wilaya Mufindi mkoani Iringa,Kushoto Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.

Waziri wa Michezo wa Zanzibar Abdullahi Jihadi Hassan akikagua timu Wilaya ya Mjini Zanzibar,kabla ya kupambana na timu ya Kaskazini A,ambapo Wilaya ya Mjini ilishinda ilifunga 3-1Kasnazini katika mashindano ya Vodacom Muungano Cup Vijana ya Wilaya ya Mjini Unguja ndiyo iliyochukua nafasi ya kwanza na inatarajiwa kucheza na bingwa wa kundi la Tanzania bara. Kundi la Tanzania bara liko wilaya Mufindi mkoani Iringa

Wachezaji wa timu ya Wilaya ya mjini na kaskazini wakimenyana vikali katika mashindano ya Vodacom Muungano Cup Vijana ya Wilaya ya Mjini Unguja ndiyo iliyochukua nafasi ya kwanza na inatarajiwa kucheza na bingwa wa kundi la Tanzania bara. Kundi la Tanzania bara liko wilaya Mufindi mkoani Iringa

No comments: